
chakula safi cha Kitanzania. Sahani ya wali mweupe. pembeni kuna chungu chenye maharage ya nazi, halafu chungu chenye bamia na nyanya chungu, halafu chungu cha kisamvu kilichoungwa kwa nazi! Yummmmyyyy... Do I make you hungry?
Wali = cooked rice
Maharage ya nazi = beans cooked with coconut milk
Bamia na nyanya chungu = Okra with bitter tomatoes.
Kisamvu = cassava leaves cooked with coconut milk
Picha kwa hisani ya Majjid Mjengwa Blog.
3 comments:
You really make me hungry!
Oh! man, I miss that, specially kisamvu (cassava leaves) and nyanya chungu (bitter tomatoes)
chakula chetu ni kitamu na kina ladha. Nasikia njaa nikiangalia hii picha.
Post a Comment