Aids day.
Leo kama tunavyoelewa ilikuwa ni siku ya ukimwi duniani. Duniani watu huikumbuka tofauti na kwa namna mbalimbali. Na inaonekana kwamba Africa ndio illiyoathirika sana na balaa hili. Tuendelee na kuomba Mungu na kuelimisha jamii kuhusu tatizo hili.

(above former US Prez Bill Clinton greeting a little girl in Tanzania, who is living with HIV, and is receiving medication from Bill Clinton Aids Foundation) Many Asantes to Mr Clinton for saving lives.
5 comments:
Hope Mungu atatusaidia. Tuzidi kuombeana na kuelimishana.
Nyie ni Watzania au?
Ni kweli kabisa inabidi, tuelimishane sana ukizingatia kuwa africa yetu ndio iliyoathirika sana. mambos? wabongos?
Habari za Marekani?
Ni kweli kabisa ukiangalia vyombo vya habari,inaonekana kuwa Africa ndio uliyoathirika sana na balaa la ukimwi. Ndugu tuendelee kuelimishana na kusaidiana, haswa kwa ndugu zetu walioko huko.
Shukrani kwa Bill Clinton, he's done a wonderful job.
Post a Comment