Thursday, November 30, 2006

Karibu sana /Welcome

heloooooo,
habari, mambo vipi?
Haya ni siye hapa madada wawili toka kuleeeee Afrika Mashariki. Tunakukaribisha katika hii blog yetu mpya. Jisikie nyumbani.
Tutatumia lugha mbili, Kiswahili kwa wingi na Kiingereza, kiasi, kwa washiriki wetu wasiofahamu kiswahili. Tufungue sherehe rasmi.....

2 comments:

Anonymous said...

Asante sana kina dada, twafurahia kuona kuwa tunaweza kuwasiliana na kubadilisha mawazo.

Anonymous said...

Hi girls, jambos, hope all's well. I'm trying my swahili, been to east Africa before and learn some new languages. It's good to see that I'll be practicing my knowledge.